Accueil

Bienvenue sur votre nouveau site.

Bienvenue sur votre nouveau site ! Pour modifier cette page, cliquez sur le lien de modification. Pour plus d’informations sur la personnalisation de votre site, visitez le site http://learn.wordpress.com/

Articles récents

Dhuluma ya kijinsia

Wanawake wengi wanakutwa na matatizo kila siku ikiwemwo ubakaji Hama dhuluma ya kijinsia .kuwa mwanamke si raisi,mwanamke anachukuliwa kama mtu asiye kuwa na neno la kusema mbele za wanaume. Ivi ni kwa nini mwanamke hunyanyaswa kiasi icho?kwa nini mwanamke hapewi fursa ya kumiliki mwili wake?binafsi nadhani yakwamba ni vizuri mwanamke kupewa heshima katika jamii.

Recevez directement le nouveau contenu dans votre boîte de réception.